VIONGOZI WETU NI WAZEMBE; WAKAAZI WA ADU WASEMA

Wakaazi wa wadi ya Adu eneo bunge la magarini kaunti ya Kilifi wameendelea kulalamikia kulemazwa kwa miradi ya maendeleo kufuatia kile wamekitaja kuwa kuzembea kwa viongozi wao.
Imetayarishwa na Janice Marete