#Local News

BONIFACE MWANGI, WILLY MUTUNGA WAJIWASILISHA DCI

Wanaharakati wawili ambao ni Bonface Mwangi na Hanifa Adan wamejiweasiwasilisha katika makao makuu ya idara ya jinai DCI kwenye barabara ya Kiambu wakiwa wameandamana na jaji mkuu wa zamanai Willy Mutunga na mkurugenzi mkuu mtendaji wa shirika la kiraia la haki Africa Hussein Khalid.

Wanaharakati hao ambao wamekuwa mafichoni wametaka kujua ni kwanini wenzao katika maandamano ya kupinga mswada wa kifedha wa mwaka 2024 wamekuwa wakitekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi.Aidha, Mwangi ametaka kufahamu kwanini kumekuwa na jaribio la kumteka nyara , akikariri kwamba hajafanya kosa lolote

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

BONIFACE MWANGI, WILLY MUTUNGA WAJIWASILISHA DCI

“HATUWATAMBUI!” WAANDAMANJI BUNGOMA

BONIFACE MWANGI, WILLY MUTUNGA WAJIWASILISHA DCI

‘MAANDAMANO YA PUNDA’ LAMU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *