#Rugby #Sports

SHUJAA YASAFIRI KWA HONG KONG NA SINGAPORE 7S

Timu ya raga ya Kenya, Shujaa, imeondoka nchini kuelekea mashindano ya Hong Kong 7s (Machi 28-30) na Singapore 7s (Aprili 5-6) wakilenga kuboresha matokeo yao kwenye HSBC SVNS Series.

Kocha Kevin Wambua ametangaza kikosi thabiti, akimjumuisha Festus Shiasi badala ya Jackson Siketi.

Mchezaji mahiri Jone Kubu pia ameendelea kushiriki, huku Patrick Odongo akirejea baada ya jeraha.

Shujaa watakabiliwa na ushindani mkali katika Kundi C dhidi ya Hispania, Uingereza, na Ufaransa.

Imetayarishwa na Janice Marete

SHUJAA YASAFIRI KWA HONG KONG NA SINGAPORE 7S

HARAMBEE STARS YACHAPWA 2-1 NA GABON

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *