FAMILIA YA OGUTU YALILIA HAKI, YALAUMU UBALOZI
Familia ya mkenya John Ogutu aliyeuawa kwenye ghasia za uchaguzi nchini Tanzania imeitaka serikali ya Kenya kuingilia kati ili kuurejesha nchini mwili wa jamaa yao ambao haujulikani uliko kufikia sasa.
Kwenye kikao na wanahabari, familia hiyo imelalamikia kukosa msaada kwenye idara husika ukiwemo ubalozi wa Tanzania humu nchini, wanaosema umekosa kutoa maelezo kuhusu hatma ya mwili wa mwendazake.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































