#Local News

MWANGA WA MWANGAZA WADIDIMIA

Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza huenda atajipata taabani huku kukiwa na tetesi kwamba baadhi ya wawakilishi wadi wanaandaa hoja ya tatu klumbandua mamlakani baada ya kuponea majaribio ya kumbandua mamlakani ya awali kugonga mwamba.

Wakaazi sasa wakimtaka rais william Ruto kulivunja bunge la kauti ya meru kufuatia tofauti baina ya gavana Mwangaza na wabunge wa kaunti hiyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *