#Local News

POLISI KAKAMEGA WAKABILIANA NA KUNDI LA WATU WENYE NJAA YA MAFUTA

Polisi wamekabiliana na kundi la watu katika mapigano huku wakichota mafuta kutoka kwa lori lililopinduka katika barabara ya Eldoret-Webuye kaunti ya Kakamega.

Kwa mujibu wa polisi, umati huo ulikuwa umefika eneo la tukio wakiwa wamejipanga kwa vifaa vya kubebea mafuta bila kujali usalama wao.

Lori  hiyo iliyokuwa imebeba takribali lita elfu 39,000 za mafuta ya petroli ilipinduka katika eneo la Mukhonje baada ya dereva kupoteza udhibiti wake usiku wa kuamkia leo ilipokuwa ikisafirisha bidhaa hiyo  kutoka Eldoret hadi Malaba.

Imetayarishwa na Janice Marete

POLISI KAKAMEGA WAKABILIANA NA KUNDI LA WATU WENYE NJAA YA MAFUTA

LIPA UHURU PESA ZAKE; MAKUENI SENETA AMWAMBIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *