#uncategorized

MAAFISA ZAIDI WA TRAFIKI WATUMWA BARABARANI

Katibu katika wizara ya masuala ya ndani na utawala wa nchi Raymond Omollo, amesema maafisa Zaidi wa trafiki wametumwa  katika barabara zote kote nchini kushika doria na kudhibiti msongamano ili kuepusha ajali wanafunzi wanaporejea shuleni kwa muhula wa pili.

WATU 277 WAFARIKI KWENYE MAFURIKO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *