#Local News

TRUMP: MNAWAZAWADI WANAMGAMBO WA HAMAS

Rais wa Marekani Donald Trump ameyakosoa mataifa ya Ulaya yaliyoitambua Palestine kama taifa huru, katika hatua ambayo imeonekana kama kuitenga Marekani ambayo ianunga mkono Israel katika mapigano yake na Palestine.

Akihutubia kikao cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa nchini Marekani, Trump ameyataka mataifa yenye nguvu duniani kuangazia mikakati itakayohakikisha kuwa mateka wanaozuilia katika ukanda wa Gaza wanaachiwa huru.

Kulingana na Trump, kutambuliwa kwa Palestine kama taifa huru, ni saw ana kuwazadi wanamgambo wa Hamas kutokana na mashambulizi yake ya Oktoba mwaka 2023 dhidi ya Israel.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TRUMP: MNAWAZAWADI WANAMGAMBO WA HAMAS

RUTO AFICHUA AFISA ALIFARIKI HAITI

TRUMP: MNAWAZAWADI WANAMGAMBO WA HAMAS

NYOTA WA RIADHA WAREJEA NA MBWEMBWE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *