#Local News

RUTO ATETEA USHIRIKIANO WA KENYA NA CHINA

Rais William Ruto ametetea ushirikiano uliopo kati ya Kenya na Uchina na kusema ni kwa manufaa ya taifa hili.

Akiongea kwenye mkao na wadau kutoka sekta ya kibinafsi rais anasema alishiriki mazungumzo na mwenzake wa China na kuafikiana kuhusu mbinu za kusawazisha biashara kati ya Kenya na China kwa manufaa ya pande zote mbili.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ATETEA USHIRIKIANO WA KENYA NA CHINA

EACC YAMNASA CHIFU KAKAMEGA

RUTO ATETEA USHIRIKIANO WA KENYA NA CHINA

IEBC YAPINGA MADAI YA WIZI WA KURA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *