RAIS APUUZA UKOSOAJI WA UPINZANI
Rais William Ruto amepuuza shutuma kutoka kwa viongozi wa upinzani wanaomkosoa kwa madai ya kukosa kuwajibika kwa Wakenya.
Rais amesema rekodi yake ya maendeleo inajieleza, akitaja miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini kama ushahidi wa utendaji wa serikali yake.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































