SERIKALI IMENUNUA MAGARI KUMI YA KISASA YA KIUSALAMA

Serikali imeyanunua magari kumi ya kiusalama na ya kisasa ili kusaidia katika uparisheni ya kuwakabili wahalifu nchini.
Akiyapokea magari hayo katika bandari ya Mombasa Waziri wa usalama wa ndani ya nchi prof Kithure Kindiki amesema magari hayo yanatazamiwa kupiga jeki oparisheni ya kuwakabili magaidi wa Alshabab katika kaunti ya lam una kaskazini mashariki vile vile wizi wa mifugo katika eneo la kaskazini mwa eneo la bonde la ufa.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































