#Local News

WALIMU WA JSS MWINGI WAENDELEA KUGOMA

Walimu wa shule za sekondari msingi wameendelea na mgomo wao kote nchini wakiitaka tume ya kuwaajiri walimu TSC kuwaajiri kwa akandarasi ya kudumu jinsi mahakama ya uajiri na leba ilivyoamuru.

Katika eneo la Mwingi kaunti ya Kitui, walimu wameapa kutorejea kazini, na kuwataka viongozi wengine wahirikiane naoi li kuona kwamba maslahi yao yanashughulikiwa.

Huku hayo yakijiri, mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro, amesema kuna bajeti ya kuwaajiri walimu hao katika mwaka ujao wa kifedha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WALIMU WA JSS MWINGI WAENDELEA KUGOMA

RAIS BIDEN KUITEUA KENYA KATIKA NATO

WALIMU WA JSS MWINGI WAENDELEA KUGOMA

EACC YAIDHNISHWA KUTWAA MALI YA AFISA WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *