#Local News

MASENGELI ASHIKA USUKANI

Naibu inspekta mkuu katika idara ya polisi wa utawala Gilbert Masengeli ameanza rasmi majukumu yake baada ya kukabidhiwa afisi na mtangulizi wake James Kamau, akiahidi kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Akihutubu katika makao makuu ya polisi wa utawala jijini Nairobi waketi wa hafla hiyo, Masengeli amesema jukumu kuu la polisi ni moja tu ambalo ni kuhakikisha usalama wa nchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MASENGELI ASHIKA USUKANI

WAKAAZI MUMIAS WASHUTUMU POLISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *