WAHADHIRI WA VYUO VIKUU WAMEKATAA KUSITISHA MGOMO WAO

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa vyuo vikuu na wahadhiri UASU na kusu wamesema kuwa mgomo wao unaendelea hadi pale serikali itakapo walipa  pesa wanazodai .  viongozi hao wametoa tangazo hilo baada ya kukosa kuafikiana kwenye mkutano wao na serikali, na mgomo huo ukiendelea kwa siku 45 sasa wanafunzi wakitishia kuandamana kote nchini Kwa mujibu wa mkataba wao wa makubaliano ni kwamba wahadhiri wanaidai serikali shilingi […]

SHILINGI BILIONI 4.2 ZAHITAJIKA KUCHAPISHA VITAMBULISHO

Idara ya Uhamiaji imelitaka Bunge la Kitaifa kuidhinisha bajeti ya shilingi bilioni 4.2 zaidi kugharimia uchapishaji wa vitambulisho vya kitaifa. Hii inafuatia hatua ya Rais William Ruto kufutilia mbali ada ya shilingi 300 kwa wanaoomba vitambulisho kwa mara ya kwanza na pia kusitisha ada nyingine ya shilingi 1,000 kwa wale waliopoteza vitambulisho hadi baada ya […]

CHELSEA YASAKA ‘MRITHI’ WA MARESCA

Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza EPL inalenga kupata huduma za meneja wa klabu ya ADC Bournemouth Andoni Iraola huku meneja wa sasa Enzo Maresca akiendelea kujipata chini ya shinikizo. Shinikizo za hivi punde zimetokana na the Blues kupokezwa kichapo cha mabao 2-1 mikononi mwa Sunderland, ripoti zikiibuka kwamba maafisa wakuu kwenye klabu […]

GOR WATANGAZA KUREJEA

Mshikilizi wa rekodi ya ubingwa wa ligi kuu ya FKF Premier League Gor Mahia wamepanda hadi nafasi ya 2 katika jedwali la ligi hiyo baada ya kuwazamisha Mathare United kwa mabao 2-0 katika uwanja wa Kasarani hapo jana. Gor waliendeleza msururu wa matokeo bora msimu huu, wakiwa wameshinda mechi 4 mfululizo licha ya kuanza msimu […]

KIPCHOGE AJIANDAA KWA HISTORIA MAREKANI

Bingwa mara 2 katika michezo ya Olimpiki Eliud Kipchoge amesema ana malengo anayotaka kuafikia anapojiandaa kuishiriki mbio za New York City Marathon Jumapili hii kwa mara ya kwanza. New York City, ama The Big Apple jinsi inavyofahamika, ndilo jiji pekee jipya ambako Kipchoge hajashiriki mbio katika safari yake ya miaka 12 ya riadha iliyoshuhudia akivunja […]

DCP YAJIONDOA KWENYE UCHAGUZI MALAVA

Mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye uchaguzi mdogo unaokuja mwezi ujao eneo bunge la Malava Seth Panyako, amepigwa jeki baada ya chama cha DCP chake Rigathi Gachagua kumwondoa mwaniaji wake ili kumuunga mkono Panyako wa DAP-K. Akitoa tangazo hilo, naibu kinara wa DCP Cleophas Malala, amesema muungano wa upinzani uliafikiana kumwasilisha mgombea mmoja ili kumenyana […]

SADC, EAC ZATAKIWA TANZANIA

Jumuiya za kikanda za Afrika ikiwemo ile ya Afrika Mashariki EAC na ile ya Kusini mwa Afrika SADC zimetakiwa kumwajibisha Rais wa Tanzania Samia Suluhu kuhusiana na ukiukaji wa haki za kibinadamu ulioripotiwa dhidi ya waandamanaji wanaopinga uchaguzi nchini humo. Makundi ya wanaharakati akiwemo Martha Karua na Hussein Khalid, wamelalamikia ripoti za mateso, mauaji na […]

MOSHI MWEUPE VYUONI

Huenda masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini yakarejelewa muda wowote kuanzia sasa baada ya wahadhiri kuonekana kuelegeza msimamo wao kuhusu mazungumzo na serikali kumaliza mgomo ambao umeingia siku ya 45. Mazungumzo haya yamerejelewa huku wahadhiri wakisema serikali imelegeza msimamo wake kuhusu kulipa malimbikizi ya mishahara yao, hatua ambayo huenda ikaleta mwafaka wa kurejea kazini. […]

UFISADI UNAANGAMIZA NCHI- MARAGA, KIGAME

Serikali imetakiwa kuvunja kimya chake kuhusu kudorora kwa sekta muhimu kama vile afya na elimu ya juu, ambayo imedorora kutokana na mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma. Wakizunguza katika hafla moja kaunti ya Makueni, jaji mkuu wa zamani David Maraga na mwimbaji wa nyimbo za injili Reuben Kigame, wamehusisha changamoto zinazoikabili nchi na […]

VINICIUS AOMBA RADHI KWA MASHABIKI

Winga wa Real Madrid, Vinicius Junior, ameomba radhi kwamashabiki kufuatia mwenendo wake wakati wa ushindi wa timuyake 2–1 dhidi ya Barcelona katika mechi ya El Clásicoiliyochezwa Jumapili.Vinicius alionyesha hasira baada ya kutolewa dakika ya 72 kwakuondoka moja kwa moja kuelekea vyumba vya kubadilishianguo, kitendo kilichowakera baadhi ya mashabiki.Hata hivyo, baadaye alirejea kwenye benchi na baada […]