CHANJO KUSAMBAZWA KATIKA HOSIPITALI KOTE NCHINI
Serikali kupitia wizara ya afya imepokea dozi milioni nane za chanjo ilizoagiza na ambazo zitaanza kusambazwa katika vituo vyote vya afya kuanzia leo
Kwa mujibu wa Katibu katika wizara ya afya Harry Kachuwai Kimtai hospitali na vituo vyote vya afya vitapata chanjo zote ifikiapo jumatatu wiki ijayo
Kimtai aidha amedokeza imegarimu takribani shilingi bilioni 1.25 katika uagizaji na ununuzi wa chanjo hizo
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































