#Football #Sports

MUDAVADI; NAUNGA MKONA HAZIMA YA RAILA 100%

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesema kuwa yuko tayarai kumunga mkono kinara wa ODM Raila Odinga katika hazima yake ya kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa umoja wa afrika AUC.

Kwa mujibu wa Mudavadi Odinga hawakilishi tu taifa la kenya bali bara nzima la afrika kwa kuwa anajumuisha matarajio ya mamilioni ya waafrika wanaotafuta bara lililounganishwa na lenye amani.

Imetayarishwa na Janice Marete

MUDAVADI; NAUNGA MKONA HAZIMA YA RAILA 100%

MWANIKI ATOLEWA NJE

MUDAVADI; NAUNGA MKONA HAZIMA YA RAILA 100%

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *