#Local News

POLISI LUGARI WACHUNGUZA KIFO CHA MKAZI ALIYEKUWA AKIPANGA MAZISHI

Polisi wanachunguza mauaji ya mwanamme mwenye umri wa miaka 49 ambaye mwili wake umepatikana kichakani katika eneo bunge la Lugari kaunti ya Kakamega.

Kulingana na wakazi, mwili wa Isaac tatuli umepatikana mita chache kutoka nyumbani kwake muda mfupi baada ya kuachana na wenzake walipokuwa wakipanga mazishi ya mtoto wa binamu yake.

Aidha, familia ikiongozwa na Solomon Kakai na wakazi, wamelalamikia ukosefu wa usalama eneo hilo na kutaka serikali kuwajibika.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI LUGARI WACHUNGUZA KIFO CHA MKAZI ALIYEKUWA AKIPANGA MAZISHI

GACHAGUA APATA AFUENI MAHAKAMANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *