#Football #Sports

MATANO AWAAMINI OMONDI NA ETEMESI DHIDI YA SHABANA

Kocha mkuu wa KCB, Robert Matano, ameweka matumaini yake kwa kiungo Richard
Omondi na mshambuliaji Kelvin Etemesi huku benki hao wakijiandaa kuivaa Shabana siku
ya Jumatatu.
Matano ana imani na nyota hao kufuatia onyesho kali la KCB Jumanne dhidi ya APS Bomet,
ambapo walishinda 4-2 katika mechi ya ligi.
Etemesi alirejea katika ubora wake wa kufunga kwa mtindo wa kuvutia, akipachika hat-trick,
huku Omondi akihitimisha ushindi huo kwa bao la nne.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MATANO AWAAMINI OMONDI NA ETEMESI DHIDI YA SHABANA

RAIS RUTO ASIFU USHINDI WA WA DAVID

MATANO AWAAMINI OMONDI NA ETEMESI DHIDI YA SHABANA

ALONSO CHINI YA PRESHA KABLA YA MECHI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *