#Local News

MVUTANO WA MFUMO WATISHIA HUDUMA

Mfumo mpya wa ununuzi wa e-Procurement umeendelea kutishia kusambaratika kwa huduma katika taasisi za umma kutokana na mvutano kati ya wabunge wa Waziri wa fedha John Mbadi, ambaye ameshikilia kuwa mfumo huo lazima utekelezwe.

Akiwa mbele ya kamati ya utekelezaji wa katiba katika bunge la kitaifa, Waziri Mbadi ameutetea mfumo huo anaosema utahakikisha uwazi katika ununuzi na utoaji tenda za serikali.

Hata hivyo, wabunge wamejiunga na magavana kuupinga, wakisema unakiuka sheria za ununuzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MVUTANO WA MFUMO WATISHIA HUDUMA

MGOMO WA WAHADHIRI WANG’ATA VYUO VIKUU

MVUTANO WA MFUMO WATISHIA HUDUMA

MWAKILISHI WADI NAIROBI AJIUZULU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *