#Local News

WAKENYA WAHIMIZWA KUKUMBATIA MAISHA CARD

Wakenya wanahimizwa kubadilisha vitambulisho vyao na kuchukua vya kisasa maarufu Maisha card kwa kujwa Serikali inapanga kutumika vipengee bora zaidi katika card hiyo kwa manufaa ya mwananchi.

Katibu katika wizara ya uamiaji Julius Bitok anasema kuwa ingawaje wakenya bado watakubaliwa kutumia vitambulisho vyao vya kisasa katika uchaguzi mkuu ujao vipengee vya juu vya kidijitali katika Maisha card vina manufaa makubwa kwa wakenya wanaotumia card hiyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *