#Local News

WAHADHIRI WAAPA KUENDELEZA MGOMO

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma nchini wataendelea kusalia nyumbani kwa muda usiojulikana kutokana na mgomo wa wahadhiri, ambao sasa wanasema wako tayari kuendelea na mgomo wao hata ikimaanisha hadi mwishoni mwa mwaka huu.

Wahadhiri kupitia miungano yao ya UASU, KUSU na KUDHEIA, wanasema watasubiri uamuzi wa mahakama ambao umeratibiwa kutolewa tarehe 11 mwezi Disemba.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAHADHIRI WAAPA KUENDELEZA MGOMO

MAGAVANA KUJADILI KAULI ZA KAHIGA 

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *