NIKO SALAMA;SYLVANUS OSORO

Mbunge wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro amewahakikishia wapiga kura usalama wake katikati ya mizozo kuhusu kuendelea kuunga mkono Mswada wa Fedha wa 2024 uliokataliwa.
Katika mtandao wa kijamii jana Jumapili ambapo alishiriki kipande cha picha yake akitangamana na wenyeji huko Mugirango Kusini, ambapo alithibitisha kuwa yuko salama.
Imetayarishwa na Janice Marete