OMTATA; WALIOFYATUA RISASI NA KUWAUA WAANDAMANAJI WAWAJIBISHWE
Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Okiya Omtata ameendelea kushinikiza uwajibikaji wa maafisa wa usalama waliohusika na vifo vwa watu zaidi ya 60 wakati wa maandamanao ya kupinga serikali.
Katika barua yake kwa mamlaka ya kutathmini utendakazi wa maafisa wa polisi Omtata anataka idara hiyo kuchunguza amaafisa wa polisi waliofyatua risasi zilizowaua watu na kuwaacha wengine na majeraha.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































