CBK YAFANYA MABADILIKO KWA NOTI ZA KENYA

Benki Kuu ya Kenya (CBK) imefanya mabadiliko makubwa kwa noti za fedha za Kenya ili kudumisha viwango kama ilivyoainishwa katika Katiba.
Katika taarifa, CBK ilieleza kuwa mabadiliko hayo yataathiri noti za 50,100,200,500 na1,000.
Walifafanua kuwa mabadiliko hayo ni sasisho kwa yale ya awali na yatazunguka pamoja na yale yaliyotolewa awali
Imetayarishwa na Janice Marete