MWENYEKITI WA KUDHIBITI BIDHAA GUSHI AKAMATWA
Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini – EACC wamemkamata mwenyekiti wa halmashauri ya kudhibiti bidhaa gushi nchini Josphat Gichunge kwa madai ya kuhusika katika visa kadhaa vya ufisadi
Kulingana na taarifa ni kwamba mnamo novemba tarehe 11 Gichunge anadaiwa kumwitisha mwanabiashara mmoja rushwa ya shillingi millioni tano kwa madai ya kuhusika na bidhaa gushi
Kwa sasa anazuiliwa huku uchunguzi zaidi ukiendelea.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































