#Local News

RAILA ADOKEZA KUGOMBEA URAIS 2027

Kinara wa ODM Raila Odinga amekana kuhusu uwepo wa makubaliano ya chama hicho kushirikiana na UDA kwenye uchaguzi wa urais ujao, akiwaonya wabunge wa ODM kukoma kueneza porojo kuhusu madai hayo.

Odinga amesema kuwa ODM bado haijatoa mwelekeo kuhusu uwaniaji wa urais, huku akidokeza kuhusu uwezekano wa kumwasilisha mgombeaji wa urais kumenyana na rais William Ruto kwenye uchaguzi huo.

Alikuwa akizungumza na wabunge wa chama chake.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RAILA ADOKEZA KUGOMBEA URAIS 2027

SERIKALI YATANGAZA MSAADA MAENEO KAME

RAILA ADOKEZA KUGOMBEA URAIS 2027

MACHIFU MANDERA KUPEWA BUNDUKI, MURKOMEN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *