#Local News

MICHANGO KWA SHIF NI YA LAZIMA

Wafanyikazi wote wa wametakiwa kuzingatia kanuni mpya za utumaji fedha chini ya Bima ya Afya ya Jamii.

Mamlaka ya Bima ya Afya ya Jamii (SHIF) imetoa taarifa kwa umma kwa waajiri wote, na kuwakumbusha wajibu wao wa kuzingatia kanuni mpya za utumaji fedha chini ya Bima ya Afya ya Jamii.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa SHA Elijah Wachira amesema michango lazima ikatwe na kutumwa ifikapo tarehe 9 ya kila mwezi na katika akaunti za benki husika.

Waajiri pia wametakiwa kuhakikisha wanafuata Sheria ya SHA katika orodha zao za malipo za Oktoba 2024 na kutuma pesa kwa wakati kwa SHIF.

Waajiri wanaonywa kuwa kushindwa kuzingatia kanuni hizi kunaweza kusababisha adhabu chini ya Kifungu cha 48(1) cha Sheria ya Bima ya afya.

Imetayarishwa na Janice Marete

MICHANGO KWA SHIF NI YA LAZIMA

NCIC YAWAITA WANASIASA WA TANA RIVER KUHUSU

MICHANGO KWA SHIF NI YA LAZIMA

JAJI MKUU MARTHA KOOME ATEUA JOPO LA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *