#uncategorized

TUREJESHE WANAFUNZI SHULENI RAIS RUTO AMESEMA

Rais William Ruto ametoa wito kwa wazazi kuwarejesha wanao shuleni akiwahakikishia kuwa mvua kubwa iliyosababisha uharibifu mkubwa na kupelekea kufungwa kwa shule kwa takribani wiki mbili imepungua.


Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa shule ya msingi ya Lenana jijini Nairobi Ruto amesisitiza kuwa serikali itaimarisha usalama wawanafunzi,walimu na wafanyakazi shuleni.


Ameongeza kuwa serikali kwa ushirikiano na bunge itakarabati madarasa na miundo msingi iliyoharibiwa na mafuriko.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *