#Football #Sports

ARSENALI WAIADHIBU EINDHOVEN

Vijana wawili wenye talanta wa Arsenal Myles Lewis-Skelly na Ethan Nwaneri waliungana Jumanne kusaidia The Gunners kushinda 7-1 katika hatua ya 16 ya mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSV Eindhoven.

Kikosi cha Ligi ya Premia kilikuwa katika kiwango tofauti ukilinganisha n ahiki cha ligi ya mabingwa na kilipelekea kuwazaba PSV ambayo ni mojawapo ya historia kushindwa vibaya zaidi kuwahi kutokea katika soka la ulaya.

Arsenal sasa wanatazamia kukukutana na mshindi wa mechi kati ya Real na Atletico Madrid

Imetayarishwa na Nelson Andati

ARSENALI WAIADHIBU EINDHOVEN

OLOUCH APIGIA UPATO KIKOSI CHAKE

ARSENALI WAIADHIBU EINDHOVEN

NANDI, RED CROSS ZASHIRIKIANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *