#Local News

SHA KUGHARAMIA UZAZI LEVEL 2 NA 3- DUALE

Ni afueni kwa akina mama wanaojifungua katika maeneo ya mashinani baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bima ya afya ya kijamii SHA kulipia gharama za kujifungua katika hospitali za kiwango cha level 2 level 3 zilizosajiliwa kwenye bima hiyo.

Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kamati itakayofuatilia akina mama wajawazito ili kudhibiti visa vya vifo wakati wa kujifungua, Waziri wa afya Aden Duale, amesema uamuzi huo umeafikiwa kufuatia azimio la pamoja kati ya serikali kuu na zile za kaunti.

Duale amekariri kuwa hatua hiyo itaimarisha upatikajani wa matibabu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SHA KUGHARAMIA UZAZI LEVEL 2 NA 3- DUALE

IEBC YAWAHIMIZA VIJANA KUJISAJILI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *