RUTO AKAANGWA NA MASWALI UGHAIBUNI
Rais William Ruto amekuwa na wakati mgumu kueleza ni kwanini taifa liko katika kampeni mara kwa mara licha ya kuwapa kwa muda mrefu kabla ya uchaguzi kufanyika
Katika kikao na wakenya wanaoishi nchini Uingereza ambako Rais amekuwa ziarani, wakenya hao wameelezea wasiwasi kuhusu uwezekano wa taifa kujikokota kimaendeleo kutokana na kampeni hizo.
Rais hata hivyo amesema ni jukumu la kila mwanasiasa kuhakikisha siasa zinakomeshwa ili kupisha nafasi ya utendakazi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































