#International

NAIBU WA RAIS WA MALAWI AAGA DUNIA

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, ametangaza rasmi kifo cha makamu wake Saulos Chilima amefariki kutokana na ajali ya ndege iliyokuwa imembebea Pamoja na watu wengine 9.

Katika taarifa kwa taifa hilo, Chakwera amesema kifo cha makamu wake kimebainika baada ya mabaki ya ndege hiyo kupatikana katika msitu wa Chikangawa.

Mbali na walinzi wa Chakwera, miongoni mwa wengine waliokuwa kwenye ndege hiyo ni aliyekuwa mke war ais mstaafu wa taifa hilo Bakili Muluzi, siku moja baada ya kutoweka kwa ndege hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NAIBU WA RAIS WA MALAWI AAGA DUNIA

DEREVA WA MBUNGE OWEN BAYA AKO HALI

NAIBU WA RAIS WA MALAWI AAGA DUNIA

KWAHERI NHIF KARIBU SHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *