#Local News

NI SHULE AU NYUMBANI?

Wazazi na wanafunzi humu nchini wamesalia katika njia panda kufuatia tangazo la KNUT kwamba wamesitisha mgomo wao huku muungano wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET wakianza mgomo wao rasmi hii leo katika kaunti mbali mbali humu nchini.

Awali wizara ya elimu ilikuwa imewashauri wazazi kuwarejesha wanao shuleni kwa kutoa hakikisho la kuangazia changamoto zinazowakabili walimu.

Wanachama wa KUPPET katika kaunti ya Kisii wakiongozwa na katibu mkuu wa KUPPET tawi la Kisii Jared Kinyanchi wamesema kuwa wanachama wake hawatarejea kazini hadi malalamishi yao yote yatekelezwe.

Imetayarishwa na Janice Marete

NI SHULE AU NYUMBANI?

MWANGA WA MWANGAZA WAZIDI KUWA GIZA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *