ODM: BABA YUKO SAWA
Uongozi wa chama cha ODM umewataka viongozi wa kisiasa kukoma kutumia suala la afya ya kinara wa chama hicho Raila Odinga katika majukwaa ya kisiasa.
Wakiongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna, manaibu wa kinara Abdulswamad Nassir na Godfrey Osotsi, vionghozi hao wameshikilia kwamba Odinga yuko sawa kiafya kinyume na madai ya baadhi ya viongozi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































