#Sports

MTUTAMBUE KAMA WACHEZAJI

Wanachama wa klabu ya kriketi ya Siaya sasa wanaomba kutambuliwa na kuungwa mkono na serikali ya kaunti ili kuwawezesha kuimarisha mchezo huo katika eneo hilo.

Kocha mkuu wa klabu ya kriketi ya Siaya Bw Joseph Oduor Onyulo analalamika kwamba licha ya kuwepo kwa miaka mitano iliyopita, kriketi bado haijatambuliwa kuwa mojawapo ya taaluma za michezo na serikali ya Kaunti ya Siaya.

Bw. Oduor aliyasema hayo katika uwanja wa shule ya msingi ya Gombe Komolo ambapo wameandaa kliniki ya kriketi ya wiki mbili kwa hisani ya Cricket Kenya.

Maoni yake yameungwa mkono na Kocha Griffins Omondi.

Imetayarishwa na Nelson Andati

MTUTAMBUE KAMA WACHEZAJI

RATIBA YA RAGA YATOLEWA

MTUTAMBUE KAMA WACHEZAJI

UKOSEFU WA PESA KWA TIMU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *