DCI YAAGIZWA KUMWASILISHA NDIANG’UI KOTINI
Mahakama imemuagiza Mkuu wa Dci Mohammed Amin kumwasilisha kotini mwana blogu Ndiang’ui Kinya,gia siku ya alhamisi awe hai ama maiti.
Jaji Chacha Mwita amewataka mawakili wanaomwakilisha Amin kusitisha sarakasi na kutii agizo la mahakama.
Anasema Kinyagia alichukuliwa nyumbani kwake na maafisa wa Dci na wanastahili kueleza aliko.
Imetayarishwa na maureen amwai
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































