#Local News

RUTO AWASHAURI MAAFISA WA JESHI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UADILIFU

Rais William Ruto amewashauri maafisa ambao wamefusu kutoka taasisi ya kijeshi kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu.

Akihutubu katika hafla ya kufuzu kwa maafisa hao rais aidha amewashauri kuwaheshimu wadogo wao kazini ili kukuza ushirikiano bora wakitekeleza majukumu yao.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *