ALIYEKUWA MBUNGE WA KISUMU TOWN WEST KENN NYAGUDI AMEFARIKI
Aliyekuwa Mbunge wa Kisumu Town West, Kenn Nyagudi, ameaga dunia.
Nyagudi amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa anapokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta.
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ameongoza viongozi kutuma risala za rambirambi, akiwapa pole familia na marafiki wa Nyagudi huku akiombea faraja kwa wapendwa wake.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































