WAKAAZI WA KAUNTI YA KISUMU WAPINGA KUBANDULIWA MAMLAKANI KWA GACHAGUA

Wakaazi wa matabaka mbali mbali katika kaunti ya Kisumu na ambao wamejitokeza katika chuo kikuu cha Tom Mboya kutoa maoni ya kuhusiana na kuondolewa afisini kwa naibu war ais Rigathi Gachagua.
Wameibua hisia kinzani huku wengi wakisemba kuwa hakuna sababu za kutosha kumbandua mamlakani naibu war ais Rigathi Gachagua.
Wakaazi hao vile vile wameeleza dhathabu zao kwa kuchelewa kwa shughuli hiyo kuanza wakisema kuwa watu wengi watakosa kutoa maoni yao kufuatia kuanza kwa shughuli hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete