#Sports

NAOMI OSAKA AJIONDOA KWA MASHINDANO YA QUEEN CLUB

Bingwa mara nne wa Grand Slam Naomi Osaka na mchezaji nambari tatu duniani Jessica Pegula wamejiondoa katika mashindano mapya ya wanawake Queen club.

Pegula, mshindi wa pili wa michuano ya US Open mwaka jana, alipangwa kuwa mchezaji wa nafasi ya juu zaidi katika mashindano ya WTA 500, lakini Mmarekani huyo alijiondoa pamoja na nyota wa Japan Osaka mapema leo.

Mashindano hayo kupasha misuli moto kuelekea Wimbledon yataanza Jumatatu, huku wachezaji wa kike wakirejea Queens club kwa mara ya kwanza baada ya miaka 52.

Pegula alipoteza katika raundi ya nne ya French Open kwa Lois Boisson mapema wiki hii, huku Osaka akifadhaishwa na Paula Badosa nakusababisha kufadhaika kwao.

Imetayarishwa na Nelson Andati

NAOMI OSAKA AJIONDOA KWA MASHINDANO YA QUEEN CLUB

KOCHA WA KABATI FC AHAKIKISHA KUA AMEJITOLEA

NAOMI OSAKA AJIONDOA KWA MASHINDANO YA QUEEN CLUB

NDOTO YA IRAN KUSHUUHUDIA KOMBE LA DUNIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *