#Local News

9 WAFARIKI KWENYE AJALI NAIVASHA

Watu 9 wakiwemo Watoto wameaga dunia kwenye ajali ya barabarani kwenye barabara na Nakuru- Nairobi karibu na eneo la Kayole Naivasha baada ya basi la uchukuzi kugongana na gari dogo la uchukuzi aina ya Nissan.

Afisa wa idara ya upelelezi eneo hilo Isaac Kiama, amethibitisha ajali hiyo ya mapema leo, akisema mansura wanatibiwa katika hospitali ya Naivasha wakiwa na viwango tofauti tofauti vya majeraha.

Imearifiwa kuwa basi hilo lilikuwa likitoka eneo la Chwele kaunti ya Bungoma likielekea Nairobi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

The Ultimate Guide to Football Odds in

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *