#Local News

NPSC YAPATA USHINDI DHIDI YA NPS

Hatimaye tume ya kitaifa inayotoa huduma za polisi NPSC iko huru kufanya ukaguzi wa rekodi za malipo ya mishahara ya maafisa wa polisi baada ya kukabidhiwa rekodi hizo ambazo ilikuwa imezuiwa na idara ya polisi.

Akiwa mbele ya kamati ya uhasibu katika bunge la kitaifa, afisa mkuu wa tume hiyo Peter Leley alidai kunyimwa rekodi hizo, hatua iliyosababisha kamati hiyo kumshinikiza inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja kumkabidhi Lelei rekodi hizo.

NPSC imemshtumu Kanja kwa madai ya kuhujumu utendakazi wa tume hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NPSC YAPATA USHINDI DHIDI YA NPS

ODPP KIKAANGONI KUHUSU KALOMBOTOLE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *