#Local News

19 WAACHILIWA NA MAHAKAMA YA OLKALOU

Washukiwa 19 waliohusishwa na vurugu wakati wa maandamano ya Juni 25 huko Nyandarua wameachiliwa kwa bondi na mahakama ya Olkalou.

Hakimu Judicaster Nthuku aliagiza kuachiliwa kwao kwa bondi ya shilingi laki moja kila mmoja akisema upande wa mashtaka haujatoa sababu za kutosha kutaka waendelee kuzuiliwa.

Imetayarishwa na maureen amwai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *