#Local News

MAANDAMANO YA WAKENYA YALIHITAJIKA; RUTO

Rais william Ruto akizungumza katika hafla ya kuwaapisha mawaziri wapya ambapo amekiri kuwa wakenya walikuwa wamechoshwa na kiwango cha juu cha uzembe na kutowajibika kwa baadhi ya viongozi wakuu serikalini hivyo walikuwa na kila sababu kuandamana.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *