#Local News

MAMBO NI MATATU, NAKHUMICHA KWA MADAKTARI

Wizara ya afya imetangaza kwamba itawaajiri madaktari wanagenzi 552 pekee kabla ya wengine kupewa nafasi baadaye kutokana na mapungufu katika bajeti ya mwaka hu.

Katika taarifa, Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema kwamba madaktari wengine wanagenzi zaidi ya 3000 watapewa nafasi wakati ambapo wizara hiyo itapata fedha zaidi.

Kulingana na Nakhumicha, kwa sasa wizara hiyo haina uwezo wa kuwaajiri madktari wote na kuwalipa shilingi 206,000 wanavyodai, na kutoa chaguo la kuwaajiri wote na kuwalipa shilingi 70,000 ilivyopendekeza tume ya SRC au wasubiri uamuzi wa mahakama.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAMBO NI MATATU, NAKHUMICHA KWA MADAKTARI

MIGORI: UOKOAJI WA MANSURA UNAENDELEA

MAMBO NI MATATU, NAKHUMICHA KWA MADAKTARI

WATANO WAFARIKI KWENYE MGODI RONGO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *