#Local News

MASAIBU YA MOI HAYAISHI LEO- WAHADHIRI

Shughuli za masomo zimeendelea kutatizika katika chuo kikuu cha Moi, wafanyakazi na wahadhiri wakidai kutishiwa na usimamizi wa chuo hicho huku wakidai kuendelea na mgomo wao.

Wakizungumza wakati wa mkutano wao jijini Eldoret, wahadhiri hao wakiongozwa na katibu mkuu wa UASU tawi la Moi Busolo Wekesa wamesema wamepokezwa Zaidi ya nyaraka 20 kutoka kwa chuo kikiwataka warejee kazini.

Aidha, wamekanusha taarifa kwamba mahakama imewaagiza kusitisha mgomo wao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MASAIBU YA MOI HAYAISHI LEO- WAHADHIRI

MIA MBILI YA MAUTI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *