#Local News

UAMINIFU WA WAKENYA KWA IEBC KUBAINIKA

Mashirika ya kijamii nchini yameibua hofu kuhusiana na yaliyokitaja kama ongezeko la visa vya vurugu zinazohusiana na uchaguzi, utoaji wazi wa rushwa na maafisa wa serikali kujihusisha na kampeni za chaguzi ndogo za hapo kesho.

Kwa mujibu wa mashirika hayo yakiongozwa na Vocal Africa, uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa uwezekano wa wizi wa kura kufanyika, yakisema iwapo mwenendo huo huatadhibitiwa basi chaguzi hizo zitakosa kuaminika.

Miongoni mwa mapendekezo ni IEBC kuwawajibisha maafisa hao, na usalama kuimarishwa kwenye maeneo kutakakofanyika chaguzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UAMINIFU WA WAKENYA KWA IEBC KUBAINIKA

NYARIBO ATIMULIWA

UAMINIFU WA WAKENYA KWA IEBC KUBAINIKA

BUNGE, SENETI KUJADILI HOTUBA YA RAIS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *