UPINZANI WAANZA ZIARA YA SIKU 5 MAGHARIBI, RIFT VALLEY
Viongozi wanaoegemea mrengo wa upinzani wameendeleza juhudu za kujitafutia uungwanji mkono kwenye uchaguzi mkuu ujao, wakiratibu misururu ya mikutano ya kisiasa na wakazi wa maeneo ya Magharibi na bonde la ufa. Mikutano hiyo ya wiki nzima inaanza hii leo katika kaunti 10, ikiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua, Kalonzo Musyoka wa Wiper, Eugene Wamalwa […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































