#Local News

TSC YASEMA TAYARI KWA GRADE 10

Tume ya kuwaajiri walimu TSC imewahakikishia wazazi na washikadau wa elimu kwamba taifa limejiandaa kikamilifu kwa mpito wa masomo ya gredi ya 10, ikisema walimu wamepewa mafunzo kikamilifu kushughulikia masomo hayo.

Akizungumza jijini Eldoret wakati wa kutangazw kwa matokeo ya KCSE yam waka 2025, afisa mkuu mtendaji wa TSC Eveleen Mitei, amesema walimu wote wameandaliwa ipasavyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TSC YASEMA TAYARI KWA GRADE 10

KNEC: THIBITISHA USAJILI WA MWANAO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *