SENETI KUANDAA VIKAO SEPTEMBER BUSIA

Bunge la seneti limeazimia kuandaa vikao vyake vya mujadala na kamati katika kaunti ya Busia kuanzia tarehe 23 hadi 27 septemba mwaka huu, katika juhudi za kuongeza ufahamu wa umma kuhusu kazi na majukumu ya seneti na vile vile kuwapa wabunge katika bunge hilo kutangamana na wakenya.
Imetayarishwa na Janice Marete